Ukurasa wa nyumbani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa wa nyumbani wa Wikipedia ya Kiingereza mwaka wa 2019.

Ukurasa wa nyumbani (kwa Kiingereza: "Home page") ni ukurasa wa mtandao wa kwanza katika tovuti. Neno hili linatumika pia kwa ukurasa wa kwanza wa kivinjari.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.