Ukurasa (mtandao)
Ukurasa au ukurasa wa mtandao ni taarifa iliyotolewa na tovuti kwa mtumiaji katika kivinjari chake.

Ukurasa wa nyumbani wa usap.gov
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.