Nenda kwa yaliyomo

Ukungenwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

ukungenwa ni desturi Nchini Afrika Kusini au Utamaduni ambapo Mwanamke mjane anakuwa mke wa shemeji yake, au anachukuliwa na kurithiwa na shemeji yake. Kitendo hiki kinatokea hasa katika sehemu za vijijini nchini Afrika Kusini, hasa Eastern Cape, na KwaZulu-Natal . [1]

  1. "Abducted marriages, inheriting a wife to be outlawed". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-25. Iliwekwa mnamo 4 Aprili 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukungenwa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.