Ujunwa Okafor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ujunwa Ekaristi Okafor

Amezaliwa 20 Desemba 1992
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu


Ujunwa Ekaristi Okafor (alizaliwa 20 Desemba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza kama beki wa klabu ya ALG Spor katika Ligi ya Wanawake ya Uturuki akivaa jezi nambari 44. Mwaka 2018 aliitwa katika timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria.[1] [2] [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ujunwa Eucharia Okafory" (kwa Kituruki). Türkiye Futbol Federasyonu. Iliwekwa mnamo 29 November 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Odeyemi, Joshua. "Super Falcons arrive Abidjan for WAFU Cup", 12 February 2018. Retrieved on 3 December 2018. Archived from the original on 2019-03-27. 
  3. "New coach Dennerby releases team list for WAFU Cup", 13 February 2018. Retrieved on 3 December 2018. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ujunwa Okafor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.