Uhuru (Mbulu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uhuru ni kata ya Wilaya ya Mbulu katika Mkoa wa Manyara, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,141 waishio humo.[1]

Kata ya Uhuru iko Mbulu mjini na ina shule ya sekondari ya kata Singland Sekondari ambayo bado ni shule changa inayofanyiwa maboresho kila leo.

Kata ya Uhuru ina mitaa saba: Harka, Ayalabe, Uhuru, Madukani, Ayarati... ila ofisi iliyopo mtaa wa Uhuru ndipo shughuli za kiutawala hutekelezwa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Mbulu - Mkoa wa Manyara - Tanzania

Ayamaami | Ayamohe | Bargish | Bashay | Daudi | Dinamu | Dongobesh | Endagikot | Endamilay | Eshkesh | Gehandu | Geterer | Gidihim | Gunyoda | Hayderer | Haydom | Imboru | Kainam | Maghang | Marang | Maretadu | Masieda | Masqaroda | Murray (Mbulu) | Nahasey | Nambisi | Sanu Baray | Tlawi | Tumati | Uhuru | Yaeda Ampa | Yaeda Chini


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhuru (Mbulu) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.