Uhakiki wa Pythagoras
Mandhari
(Elekezwa kutoka Uhakiki wa Pythagorasi)
Katika hisabati, uhakiki wa Pythagoras ni taarifa juu ya pande zote za pembetatu mraba.
Fomula yake ni a2 + b2 = c2 inayomaanisha ya kwamba kwenye pembetatu mraba jumla ya miraba juu ya miguu inayokutana kwenye pembemraba (cathetus) ni sawa na mraba juu ya kiegema (hypotenuse, upande usiounganishwa na pembemraba).