Ugwadu ni kisawe cha uchachu; vitu vyenye ladha ya namna hiyo ni kama vile embe bichi, chungwa bichi n.k.