Nenda kwa yaliyomo

Ugonjwa wa Bahima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ugonjwa wa Bahima (kwa Kiingereza: Bahima disease) ni ugonjwa unaosababishwa na upungufu wa madini ya chuma kwa watoto ambao hulishwa maziwa ya ng'ombe tu.[1]

Hutokea mara kwa mara kwa watu wa Bahima huko Ankole, nchini Uganda, ambapo ndipo chimbuko la jina lake. Bahima ni kabila linalotegemea sana ufugaji wa ng'ombe wenye pembe ndefu.

  1. Stedman, Thomas Lathrop (2005). Stedman's Medical Eponyms (kwa Kiingereza). Lippincott Williams & Wilkins. uk. 40. ISBN 9780781754439.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ugonjwa wa Bahima kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.