Ufalme wa Kazembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dola la Kazembe lilikuwa ufalme wa Kibantu kati ya 1740 na 1890 upande wa Kusini wa nchi ya kisasa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Lilianzishwa na wasafiri kutoka Dola la Lunda. Lilikuwa na wafalme walioitwa Kazembe pia.

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufalme wa Kazembe kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.