Majadiliano:Ufalme wa Kazembe
Dola - milki - himaya - utemi
[hariri chanzo]Napakia sasa hapa uchunguzi wa kamusi kadhaa kuhusu matumizi ya maneno haya. Baadaye tuhamishe kwenye majadiliano ya makala dola au milki itakapoandikwa. --Kipala 09:07, 5 Septemba 2007 (UTC)
TUKI KKK/ESD
State – dola, serikali
Head of state: mkuu wa nchi
State’s evidence – shahidi wa serikali
Empire – ufalme, milki British empire – falme ya Uingereza (??) Emperor mfalme mkuu
Kingdom – ufalme, himaya United Kingdom – Uingereza Kingdom of God – Ufalme wa Mungu
TUKI KKK/SED
Dola - state, government, polity
Ufalme – kingship, the crown
Milki – realm, kingdom, estate
Himaya – protection, authority, trusteeship
Usultani – sultanship
Dola - government, authorities
Ufalme – kingship, chiftainship, royalty; sway, rule, dominion; sphere of dominion, kingdom
Milki – possession, property, dominion, kingdom
Himaya – protection, guardianship
Bakhressa KMM
Dola – taifa, nchi
(Utemi- I use it for a feudal governed area below the rank of kingdoms or sovereign states like principality)
- Asante, Kipala! Nimesogeza makala zote kwenye "Ufalme wa ...", na kurejesha pia "dola" na "milki". --Oliver Stegen 09:48, 7 Septemba 2007 (UTC)