Kamusi ya manaa na matumizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka KMM)

"Kamusi ya manaa na matumizi" (kifupi: KMM) imetungwa na profesa Salim K. Bakhressa wa chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1992.

Kamusi hii inakusanya maneno ya Kiswahili cha kisasa na kuyaeleza katika lugha ya Kiswahili yenyewe.

Inafuata muundo ufuatao:

  • kwanza kamusi inataja maana mbalimbali za kila neno
  • pili inataja kila maana katika sentensi ya mfano

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bakhressa, Salim K. Kamusi ya manaa na matumizi. Nairobi, Kenya: Oxford University Press, 1992
Books-aj.svg aj ashton 01.svg Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kamusi ya manaa na matumizi kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.