Ufalme wa Israeli
Mandhari
Ufalme wa Israeli unaweza kuhusu falme mbalimbali zilizotokea katika historia ya Israeli, kama vile:
- Ufalme wa Muungano chini ya Sauli, Daudi na Solomoni (1050–931 KK)
- Ufalme wa Kaskazini (Samaria) chini ya koo mbalimbali (931–722 KK)
- Ufalme wa Kusini (Yuda) chini ya warithi wa Solomoni (931–586 KK)
- Ufalme wa Wamakabayo (140–37 KK)
- Ufalme wa Herode Mkuu (37–4 KK) na warithi wake, wa mwisho wao Agrippa II (hadi 100 hivi BK)