Uchambuzi wa muachano
Mandhari
Katika takwimu, Uchambuzi wa muachano (kwa Kiingereza: Analysis of Variance; kifupi: ANOVA) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya wastani tatu au zaidi.
Uchambuzi wa muachano unapatwa kwa hesabu kama AOV.
Kwa programu ya takwimu R
[hariri | hariri chanzo]Ili utafute Uchambuzi wa Muachano kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:
> fit<-aov(y~A, data=SampuliYangu) #y ni kibadilika na A ni vikundi
> summary(fit)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
- Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uchambuzi wa muachano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |