Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1976
Mandhari
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1976 ulikuwa wa 48 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 4 Novemba. Upande wa "Democratic Party", mgombea Jimmy Carter (pamoja na kaimu wake Walter Mondale) alimshinda mgombea wa "Republican Party", Rais Gerald Ford (pamoja na kaimu wake Bob Dole).
Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Carter akapata kura 279, na Ford 240 wakati mchaguzi mmoja kutoka Washington alimpigia kura Ronald Reagan badala ya Ford. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |