Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1936
Mandhari
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1936 ulikuwa wa 38 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 3 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Franklin D. Roosevelt (pamoja na kaimu wake John Nance Garner) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Alf Landon (pamoja na kaimu wake Frank Knox).
Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Roosevelt akapata kura 523 na Landon nane tu. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |