Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1936

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1936 ulikuwa wa 38 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 3 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Franklin D. Roosevelt (pamoja na kaimu wake John Nance Garner) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Alf Landon (pamoja na kaimu wake Frank Knox).

Matokeo[hariri | hariri chanzo]

Roosevelt akapata kura 523 na Landon nane tu. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.