Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1916
Mandhari
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1916 ulikuwa wa 33 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 7 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Woodrow Wilson (pamoja na kaimu wake Thomas Marshall) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Charles Hughes (pamoja na kaimu wake Charles Fairbanks).
Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Wilson akapata kura 277, na Hughes 254. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1916 Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |