Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1836
Mandhari
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1836 ulikuwa wa 13 katika historia ya Marekani. Ukafanywa tarehe 3 Novemba hadi 7 Desemba. Upande wa "Democratic Party", Kaimu Rais Martin Van Buren (pamoja na kaimu wake Richard M. Johnson) aliwashinda wagombea wa "Whig Party" William H. Harrison (pamoja na kaimu wake Francis Granger), Hugh L. White (pamoja na kaimu wake John Tyler), Daniel Webster (pamoja na Francis Granger tena) na Willie Person Mangum (pamoja na John Tyler tena).
Matokeo
[hariri | hariri chanzo]Van Buren akapata kura 170, na wagombea wa "Whig" 124. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1836 Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |