Ubambanyaji
Katika uchapaji, ubambanyaji (kutoka vitenzi vya Kibantu kubambanya; kwa Kiingereza: kerning) ni urekebisho wa umbali kati ya herufi kulingana na umbo la kila moja lilivyo.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)