Nenda kwa yaliyomo

Turuka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Turuka ni kasoko ya volkeno yenye kimo cha mita 1,328 juu ya usawa wa bahari.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Isiolo, Kenya[1][2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org