Tunicate kunyatia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tunicate kunyatia
Megalodicopia hians.jpg
Uainishaji wa kisayansi
Familia: Octacnemidae
Spishi: M. hians

Tunicate kunyatia (jina la kisayansi: Megalodicopia hians) ni aina ya tunicate ambaye anaishi kwa kujishikiza katika kuta za korongo kwenye kina cha bahari na sakafu ya bahari, akisubiri wanyama wadogo kuelea au kuogelea katika kinywa chake chenye umbo la kofia.

Anaonekana kama mchanganyiko kati ya ya Kiwavi bahari (jellyfish) na Venus Flytrap, mdomo wake ulio wa umbo la kofia unafungika haraka wakati mnyama mdogo kaelea ndani. Mara tunicate kunyatia amekamata mlo, anafunga mtego (mdomo) wake mpaka akiwa tayari kula tena.

Wakati mwingine huitwa Ghostfish, wao iwanajulikana kuishi katika korongo Monterey katika kina cha mita 200 – 1,000 (futi 660 – 3,280). Zaidi hula zooplankton na wanyama wadogo.

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tunicate kunyatia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.