Tunbosun Aiyedehin
Mandhari
Tunbosun Aiyedehin (alizaliwa Juni 19, 1973), ni mwigizaji filamu na msanii wa sauti kutoka Nigeria.[1][2][3][4] Anajulikana zaidi kwa jukumu lake katika filamu, "Two Brides and a Baby" na "Kpians: The Feast of Soul".[5][6]
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Tunbosun Aiyedehin anaishi katika Jimbo la Lagos. Aiyedehin ni mhitimu wa Usimamizi wa Biashara kutoka Chuo Kikuu cha Ahmadu Bello.[7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tunbosun Aiyedehin Speaks On Sexual Exploitation In Nollywood". independent.ng.
- ↑ "WHY COSTUMING IS A MAJOR CHALLENGE FOR ACTORS –NOLLYWOOD ACTRESS TUNBOSUN AIYEDEHIN A.K.A TUBY". The Nation Newspaper.
- ↑ "Jara: The rise and rise of Tubosun Aiyedehin". africamagic.dstv.com.
- ↑ "Tubosun Aiyedehin". flixanda.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-09. Iliwekwa mnamo 2024-04-23.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|4=
(help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "Tunbosun Aiyedehin". imdb.com.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help) - ↑ "Tunbosun Aiyedehin". insidenolly.ng. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-27. Iliwekwa mnamo 2024-04-23.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ "Tunbosun Aiyedehin I'm that Basic Family Woman…". ThisDay Newspaper.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tunbosun Aiyedehin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |