Tracy Camp
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Tracy Kay Camp (alizaliwa 8 Septemba 27 Juni, 1964) ni mwanasayansi wa kike wa kompyuta kutoka nchini Marekani aliyejulikana kwa utafiti wake juu ya mitandao isiyo na waya. Pia anajulikana kwa uongozi wake katika kupanua ushiriki katika kompyuta. Alikuwa mwenyekiti mwenza wa CRA-W kuanzia mnamo mwaka 2011 hadi 2014 na alikuwa mwenyekiti mwenza wa ACM-W[1] kuanzia mwaka 1998 hadi 2002.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tracy Camp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |