Nenda kwa yaliyomo

Towa Uzawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Towa Uzawa (鵜澤 飛羽, Uzawa Towa,alizaliwa 25 Novemba 2002) ni mwanariadha nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 200. Mwaka 2023 alishinda mbio za mita 200 katika mashindano ya Asia na Japani,alishiriki katika mashindano ya dunia ambapo alifika nusu fainali.Mwaka 2024, alifuzu mbio za mita 200 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2024 kulingana na kiwango chake cha ulimwengu.[1][2][3]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Towa Uzawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.