Toshiyuki Fujimoto
Mandhari
Toshiyuki Fujimoto (藤本 俊之, Fujimoto Toshiyuki,alizaliwa 25 Juni 1979 katika Mkoa wa Hyogo) ni mwanariadha nchini Japani ambaye aliyebobea katika mbio za mita 200. Alimaliza wa nne katika mbio za kupokezana za mita 4 × 100 katika mashindano ya dunia ya mwaka 2001, pamoja na wachezaji wenzake Ryo Matsuda, Shingo Suetsugu na Nobuharu Asahara.[1]
Mafanikio Binafsi
[hariri | hariri chanzo]Tukio | Mda aliomaliza | Michuano | Uwanja | Tarehe |
---|---|---|---|---|
100m | 10.42 (+1.6m/s) | Mikio Oda Memorial | Hiroshima, Japan | 29 April 2003 |
10.30 (+4.3m/s) | Mikio Oda Memorial | Hiroshima, Japan | 29 April 2003 | |
200m | 20.56 (+1.0m/s) | World Championships | Edmonton, Canada | 8 August 2001 |
Michuano ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Michuano | Uwanja | Nafasi | Tukio | Mda |
---|---|---|---|---|---|
Anaiwakilisha Japan | |||||
2001 | Mashindano ya Dunia | Edmonton, Canada | 13th (sf) | 200m | 20.56 (wind: +1.0m/s) |
4th | 4×100m relay | 38.96 (relay leg: 3rd) |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.worldathletics.org/competitions/world-athletics-championships/8th-iaaf-world-championships-6947294/results/men/4x100-metres-relay/final/result%7Ctitle=4x100 Metres Relay Men − Results|website=World Athletics|access-date=28 October 2020}}
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Toshiyuki Fujimoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |