Nenda kwa yaliyomo

Tony Allen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tony Oladipo Allen (20 Julai 1940 - 30 Aprili 2020) alikuwa mpiga ngoma, mtunzi wa nyimbo wa Nigeria na Ufaransa ambaye aliishi na kufanya kazi huko Paris, Ufaransa.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tony Allen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.