Toni Duggan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Duggan akiwa na Barcelona mnamo 2019

Toni Duggan (alizaliwa 25 Julai 1991)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama winga au mshambuliaji katika klabu ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. https://web.archive.org/web/20160725072037/https://www.mancity.com/teams/mcwfc/strikers/toni-duggan
  3. The Football Association. "England squad named for World Cup". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Toni Duggan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.