Tomoko Muramatsu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tomoko Muramatsu (alizaliwa 23 Oktoba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa kati wa timu ya taifa ya Japan pamoja na klabu ya Tokyo Verdy Beleza inayoshiriki ligi ya WE.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. FIFA
  2. List of match in 2015, 2016 at Japan Football Association
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tomoko Muramatsu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.