Tokomeza Ukatili wa Kijinsia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tokomeza Ukatili wa Kijinsia ni kampeni ya kimataifa inayosimamiwa na Shirika la kutetea Haki za Binadamu duniani, kampeni hii imelenga kutokomeza ukatili dhidi ya Wanawake.

Kampeni hii ilizinduliwa rasmi tarehe 5 Machi 2004 [1] ikiwa ni katika maaandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, shirika la kutetea haki za binadamu linaamini kwamba Ukatili dhidi ya Wanawake ni kinyume na haki za Binadamu,pia shirika hili lina wasi wasi kuwa matukio mengi ya Ukatili dhidi ya wanawake yalitokea katika kipindi cha Vita vya Kongo na machafuko ya Darfur.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]