Tofana di Mezzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Tofana di Mezzo

Tofana di Mezzo ni mlima wa Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Urefu wake ni mita 3,241 juu ya usawa wa bahari, hivyo ni wa tatu kati ya milima yote ya Dolomiti.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]