Tochukwu Oluehi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tochukwu Oluehi
Amezaliwa 2 Mei 1987
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Tochukwu Oluehi (alizaliwa 2 Mei 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya ligi Daraja la kwanza ya Israel Maccabi Kishronot Hadera na timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of Players – Nigeria". FIFA. 28 July 2014. uk. 13. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-25. Iliwekwa mnamo 18 July 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Super Falcons' Nku, Oluehi Join Norwegian Club", Complete Sports Nigeria, 14 April 2016. Retrieved on 18 July 2016. Archived from the original on 2023-06-20. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tochukwu Oluehi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.