Nenda kwa yaliyomo

Tobo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tobo ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki.

Mchezo huu unashirikisha watoto wawili na kuendelea. Unahitaji mpira. Huo ukipita katikati ya miguu ndio “tobo”.

Mchezaji ambaye ameacha mpira kupita hufukuzwa na wenzake ambao humpiga hadi afaulu kutoroka na kwenda mahali pa usalama walipokubaliana.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tobo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.