Timothy Kitum
Mandhari
Timothy Kitum (alizaliwa 20 Novemba 1994) ni mkimbiaji wa mbio za kati kutoka Kenya. Pia alishinda Michezo ya Vijana ya Jumuiya ya Madola mita 800 na Rekodi ya Michezo 1.49.32
Alishinda medali ya fedha katika mbio za mita 800 katika Mashindano ya Dunia ya Wanariadha wa 2012 huko Barcelona, akimaliza wa pili kwa Nijel Amos,[1] kabla ya kushinda medali ya shaba katika mbio za mita 800 za wanaume katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2012. [2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Dennis Machio (15 Julai 2012). "Botswana's Nijel beats Kitum as Kenya finishes 2nd overall". Iliwekwa mnamo 17 Machi 2018.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "David Rudisha breaks 800m world record in Olympics win". BBC Sport. 9 Agosti 2012. Iliwekwa mnamo 17 Machi 2018.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Timothy Kitum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |