Thomas Meunier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thomas Meunier

Thomas Meunier (alizaliwa Sainte-Ode, Ubelgiji, Septemba 12, 1991) ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG) na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Meunier alianza kucheza katika timu mbalimbali za vijana, kuanzia na RUS Saint-Ode, RUS Givry na Standard Liège. Na mpaka sasa ni mchezaji wa timu ya PSG.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thomas Meunier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

.