Nenda kwa yaliyomo

Thilo Kehrer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kehrer akiwa na timu ya taifa Ujerumani mnamo 2019

Jan Thilo Kehrer (alizaliwa 21 Septemba 1996)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Ujerumani akicheza kama beki.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "2022/23 Premier League squad lists". www.premierleague.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
  2. Damien Chédeville (2024-01-05). "Thilo Kehrer is Rouge & Blanc!". AS Monaco (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thilo Kehrer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.