The Tanzania Girl Guides Association

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

The Tanzania Girl Guides Association ni asasi ya wasichana nchini Tanzania inayofanya kazi kwa mfumo wa skauti yenye wanachama 17,233 (kwa mujibu wa taarifa ya mwaka 2003).

Asasi hiyo ilianza mwaka 1923 wakati huo nchi ikijulikana kama Tanganyika na mnamo mwaka 1963 asasi hiyo ilitambuliwa na Umoja wa Skauti za Kike Duniani (World Association of Girl Guides and Girl Scouts).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]