The Hits

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Hits
The Hits Cover
Greatest hits ya Garth Brooks
Imetolewa 13 Desemba 1994
Urefu 1 hr. 1:30 min.

The Hits ni albamu ya pili ya mkusanyiko na ya kwanza ya vibao vikuu zaidi (greatest hits) kutoka kwa msanii wa Muziki wa Country wa Marekani Garth Brooks. Ilitolewa mnamo 13 Desemba 1994 na Capitol Records lakini ikafutwa haraka kwa ombi la Brooks, lakini kufikia kufutwa ilikuwa imeshauza nakala zaidi ya milioni kumi. Ilifika nafasi ya kwanza katika chati ya ‘’Billboard Country music’’ na #1 katika chati ya Pop ya Billboard. Pia ilikuwa na ufanisi mkubwa katika nchi nyingine. Iliongoza katika chati za Pop za Ireland ambapo Brooks sasa lilikuwa jina maarufu sana. Pia iliongoza katika chati za country nchini Great Britain na ikafika #11 katika chati za pop nchini humo.

Mpangilio wa Vibao[hariri | hariri chanzo]

 1. "Ain't Goin' Down ('Til The Sun Comes Up)" (kutoka In Pieces) (Kent Blazy, Kim Williams, Garth Brooks) – 4:33
 2. "Friends in Low Places" (kutoka No Fences) (DeWayne Blackwell, Earl "Bud" Lee) – 4:18
 3. "Callin' Baton Rouge" (kutoka In Pieces) (Dennis Linde) – 2:38
 4. "The River" (kutoka Ropin' the Wind) (Victoria Shaw, Brooks) – 4:25
 5. "Much Too Young (To Feel This Damn Old)" (kutoka Garth Brooks) (Randy Taylor, Brooks) – 2:53
 6. "The Thunder Rolls" (kutoka No Fences) (Pat Alger, Brooks) – 3:42
 7. "American Honky-Tonk Bar Association" (kutoka In Pieces) (Bryan Kennedy, Jim Rushing) – 3:33
 8. "If Tomorrow Never Comes" (kutoka Garth Brooks) (Blazy, Brooks) – 3:37
 9. "Unanswered Prayers" (kutoka No Fences) (Alger, Larry Bastian, Brooks) – 3:23
 10. "Standing Outside The Fire" (kutoka In Pieces) (Jenny Yates, Brooks) – 3:52
 11. "Rodeo" (kutoka Ropin' the Wind) (Bastian) – 3:53
 12. "What She's Doing Now" (kutoka Ropin' the Wind) (Alger, Brooks) – 3:26
 13. "We Shall Be Free" (kutoka The Chase) (Stephanie Davis, Brooks) – 3:48
 14. "Papa Loved Mama" (kutoka Ropin' the Wind) (Williams, Brooks) – 2:51
 15. "Shameless" (kutoka Ropin' the Wind) (Billy Joel) – 4:19
 16. "Two of a Kind, Workin' on a Full House" (kutoka No Fences) (Bobby Boyd, Warren Dale Haynes, Dennis Robbins) – 2:31
 17. "That Summer" (kutoka The Chase) (Alger, Sandy Mahl-Brooks, Brooks) – 4:46
 18. "The Dance" (kutoka Garth Brooks) (Tony Arata) – 3:37
Barani Uropa "The Red Strokes" na "Burning Bridges" ziliongezwa katika albamu kutokana na mafanikio yao katika bara hilo. "Burning Bridges" iliongezwa kama kibao cha tatu huku "The Red Strokes" ikiongezwa kama kibao cha 19.

Nafasi Katika Chati[hariri | hariri chanzo]

Year Chart Position
1995 The Billboard 200 1
Alitanguliwa na
Miracles: The Holiday Album ya Kenny G
Balance ya Van Halen
Billboard 200 albamu ya kwanza
7 Januari - 10 Februari 1995
18 Februari - 10 Machi 1995
Akafuatiwa na
Balance ya Van Halen
II by Boyz II Men
Alitanguliwa na
Not a Moment Too Soon
ya Tim McGraw
Top Country Albums albamu ya kwanza
31 Desemba 1994 - 15 Aprili 1995
Akafuatiwa na
John Michael Montgomery
ya John Michael Montgomery
Alitanguliwa na
John Michael Montgomery
ya John Michael Montgomery
Top Country Albums albamu #1 ya mwaka
15 Julai 1995
Akafuatiwa na
The Woman in Me
ya Shania Twain
Alitanguliwa na
Not a Moment Too Soon
ya Tim McGraw
Top Country Albums albamu #1 ya mwaka
1995
Akafuatiwa na
The Woman in Me
ya Shania Twain