Terrence Howard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Terrence Dashon Howard (amezaliwa Machi 11, 1969) ni mwigizaji wa Marekani. Baada ya kuwa na majukumu yake ya kwanza makubwa katika filamu za 1995 za Dead Presidents na Mr. Holland's Opus, Howard aliingia kwenye mafanikio ya mfululizo wa televisheni na sinema miaka kati ya mwaka 2004 na 2006. Aliwahi kutunikiwa Tuzo ya Academy kama Muigizaji Bora kwa uhusika wake katika Hustle & Flow.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Terrence Howard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.