Nenda kwa yaliyomo

Terezija Stoisits

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Terezija Stoisits,mwaka 2006

Terezija Stoisits (14 Novemba 1958 huko Stinatz, Austria) ni mwanasiasa wa Austria wa chama cha kijani. Alihudumu kama mpelelezi wa jamhuri ya Austria 2007-2013. Kabla ya hapo Stoisits alikuwa mbunge wa muda mrefu zaidi katika chama chake. [1][2]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Terezija Stoisits kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.