Nenda kwa yaliyomo

Teodora Drăgoescu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Teodora Drăgoescu (alizaliwa 6 Desemba 1986) ni mchezaji wa soka wa nchini Romania na anacheza kama beki wa kati wa timu ya taifa ya wanawake ya Romania.[1]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teodora Drăgoescu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.