Tbps

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tbps ni kifupi cha Kiingereza "Terabit per second". Tbps inataja kiwango cha uhawilishaji wa data kwa sekunde moja.

Tbps moja inalingana na

  • Gigabiti 1,000 kwa sekunde 1
  • Megabiti 1,000,000 kwa sekunde 1
  • Kilobiti 1,000,000,000 kwa sekunde 1
  • Biti 1,000,000,000,000 kwa sekunde 1
  • Baiti 125,000,000,000,000 kwa sekunde 1