Tauranga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tauranga / Tauranga-moana
Mt Maunganui 2006.jpg
Mji wa Tauranga (New Zealand)
Habari za kimsingi
Mkoa Bay of Plenty
Anwani ya kijiografia Latitudo: 37°41′0″ - Longitudo: 176°10′0″E
Eneo 168 km²
Wakazi 114,300 (mji pekee)
120,000 (pamoja na rundiko)
Msongamano wa watu watu 680.4 (mji pekee) kwa km²
Simu +64 (nchi), 07 (mji)
Mahali
Taurangamoana.svg

Tauranga (Kimaori: Tauranga-moana) ni mji wa New Zealand mwenye wakazi 143,000 (2010). Iko upande wa kaskazini wa kisiwa. Eneo lake ni 98 km². Mji ulinazishwa mwaka 1838.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tauranga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.