Taratibu za uandishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taratibu za uandishi ni mfumo wa alama na mpangilio wa maneno unaomwongoza mtu kuandika vizuri.

Taratibu hizo zinatakiwa ili ujumbe ueleweke kwa msomaji, lakini pia zinafanya uandishi upendeze hata kuwa aina mojawapo ya sanaa.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taratibu za uandishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.