Tamko la Maputo
Mandhari
Tamko la Maputo (kwa Kiingereza: Protocol to the African Charter on Human and Peoples' Rights on the Rights of Women in Africa) ni azimio la kimatiafa la haki za binadamu lililoanzishwa na Umoja wa Afrika mnamo mwaka 2005 kwa malengo ya kulinda haki za wanawake inayojumuisha haki za kushiriki katika siasa na kazi za kijamii, haki ya uzazi, lakini pia, tamko hili lilipiga mila na desturi za ukeketaji.[1]
Tamko la Maputo lilizinduliwa na kuanzishwa katika mji wa Maputo uliopo nchini Msumbiji.
Hata hivyo tamko hilo lililaumiwa kwa kuruhusu utoaji mimba kutokana na mashinikizo ya nchi za nje zisizojali maadili ya Kiafrika.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ The Maputo Protocol of the African Union Archived 15 Aprili 2012 at the Wayback Machine, brochure produced by GTZ for the German Federal Ministry for Economic Cooperation and Development
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |