Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Programu tete

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Maunzilaini)

Je, tafsiri ya sofware ni programu tete? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:36, 3 Septemba 2017 (UTC)[jibu]

Naona jina hili halipo kote isipokuwa kwetu naona imebuniwa na mtungaji; KAST pamoja na orodha ya Kilinux inatumia "programu", KSK inapendekeza "maunzilaini"; ama tutumie Kiingereza "software" au tusambaze maunzilaini. Nilitafakari kutumia "programu" pekee, lakini "software" ni programu pamoja na data, kwa hiyo labda afadhali kuitofautisha. Makala ya "programu ya kompyuta" tunayo.Kipala (majadiliano) 14:22, 18 Novemba 2020 (UTC)[jibu]