Majadiliano:Programu tete
Mandhari
Je, tafsiri ya sofware ni programu tete? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:36, 3 Septemba 2017 (UTC)
- Naona jina hili halipo kote isipokuwa kwetu naona imebuniwa na mtungaji; KAST pamoja na orodha ya Kilinux inatumia "programu", KSK inapendekeza "maunzilaini"; ama tutumie Kiingereza "software" au tusambaze maunzilaini. Nilitafakari kutumia "programu" pekee, lakini "software" ni programu pamoja na data, kwa hiyo labda afadhali kuitofautisha. Makala ya "programu ya kompyuta" tunayo.Kipala (majadiliano) 14:22, 18 Novemba 2020 (UTC)