Takaaki Kajita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Takaaki Kajita
Takaaki Kajita
Amezaliwa9 Machi, 1959
Kazi yakemwanafizikia kutoka nchi ya Japani


Takaaki Kajita (amezaliwa 9 Machi, 1959) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa amechunguza mbembeo wa nyutrino unaoonyesha kwamba nyutrino ina masi. Mwaka wa 2015, pamoja na Arthur B. McDonald, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Takaaki Kajita kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.