Taha El Sherif Ben Amer
Mandhari
Taha El Sherif Ben Amer (Juni 1936 - 6 Machi 1978) alikuwa mhandisi na mwanasiasa wa Libya .
Alizaliwa kwenye mjii uitwao Benghazi,Nchini Libya mnamo Juni 1936. Alikulia huko Benghazi ambapo alimaliza shule yake ya msingi na shule ya upili. Alipata ufadhili wa masomo ili kuendeleza elimu yake huko Cairo, Misri . Mnamo 1959 alipata Shahada katika Uhandisi wa Kiraia kutoka Chuo Kikuu cha Ain Shams .
Mnamo Machi 6, 1978 Taha El Sherif Ben Amer alifariki katika ajali ya helikopta ambapo alikuwa akienda kutembelea mradi karibu na jiji la Tripoli.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Makala ya Kamati ya Watu wa Libya kwenye Wikipedia ya Kiarabu
- Makala kuhusu skauti nchini Libya Ilihifadhiwa 7 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine. (kwa Kiarabu)
- Nakala kuhusu Ujerumani Mashariki inayotaja ajali ya helikopta
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Taha El Sherif Ben Amer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |