Tabasco (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bendera ya Tabasco
Mahali pa Tabasco katika Mexiko

Tabasco ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kusini ya nchi. Upande wa kaskazini ni pwani la hori ya Campeche. Tabasco ni jimbo inayohesabiwa kuwa sehemu ya shingo ya nchi ya Tehuantepec.

Mji mkuu na mji mkubwa ni Villahermosa (kwa Kihispania: kitongoji sheshe).

Imepakana na Veracruz, Chiapas, Campeche na nchi ya Guatemala.

Jimbo lina wakazi wapatao 1,989,969 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 25,267.

Gavana wa jimbo ni Andrés Rafael Granier.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. Villahermosa (658,524)
  2. Cárdenas (79,875)
  3. Teapa (49,262)


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

ComalcalcoMexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tabasco (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.