Campeche (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Campeche, Mexico
Bendera ya Campeche
Mahali pa Campeche katika Mexiko

Campeche ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kusini - mashariki ya nchi na magharibi ya rasi ya Yucatán. Upande wa magharibi ni maji wa Ghuba ya Meksiko.

Imepakana na Yucatán, Quintana Roo, Tabasco na nchi ya Guatemala na Belize. Jimbo lina wakazi wapatao 754,730 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 50,812.

Mji mkuu na mji mkubwa ni San Francisco de Campeche.

Gavana wa jimbo ni Jorge Carlos Hurtado Valdez.

Lugha ni Kihispania na Kimaya.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. San Francisco de Campeche (211,671)
  2. Ciudad del Carmen (178,452)
  3. Candelaria (49,850)
  4. Champotón (27,235)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]




Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Campeche (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.